Questra Holding imegawanyika sehemu mbili ambazo ni A.G.A.M (Atlantic Global Asset Management) na Questra World. A.G.A.M. imesajiliwa katika kisiwa cha Cape Verde, ambacho ndio raisi wa kampuni Antonino Robalo anapotole. Questra world ni kampuni ya kimataifa inayokupa nafasi ya kufanya uwekezaji kama mtu binasfi au kampuni. 

 

 

Kwa mujibu wa sheria za Jimbo la Cape Verde, leseni za fedha za mfuko wa uwekezaji Atlantic Global Asset Management inaruhusu na inasimamia aina zifuatazo za shughuli:

Asset Management
Trust property administration
Payment Services
Trade and Organization of Asset Transactions
Investment fund activity

Usimamizi wa mali ndani ya kampuni hutolewa na timu ya Brokers wenye sifa za kuaminika, ufanisi na kuthibitika katika mikakati ya uwekezaji wenye uzoefu wa muda mrefu, kwa kutumia wigo mpana ya vyombo vya fedha.

 

 

Atlantic Global Asset Management Fund imeandaa Vifurushi mbalimbali za uwekezaji venye thamani kuanzia €90 (235,000Tsh) hadi €500,000 (1,300,000,000Tsh) kwa wawekezaji wa makundi au uwezo tofauti. Vifurushi zote uwekezaji vina majina na rangi tofauti kama:. White, Yellow, Green, Blue, Red, Black, Indigo, pamoja na nyigine kwa ajili ya wateja VIP. Questra World inakuwa nafasi wa kuwekeza kwa muda wa mwaka moja ambapo marejesho ya faida yatakuwa kati ya 4% - &% na hufanyika kila ijumaa usiku.

Na vifuatavyo ndio aina ya vifurushi vipatikanavyo Questra World.
  

 

Kama unavyoweza kuona kuna Vifurushi tofauti tofauti hapo juu na Malipo ya faida utakayo yapata kwa mwaka moja au mwezi au utalipwaje kila wiiki.

Mfano:

Kifurushi cha "Red"  ambacho ni Euro 810  sawa na Tsh.2,106,000

Muda wa Kifurushi ni siku 365 au 1 kwa mwaka.

Wastani wa faida kila wiki ni 4.6%. makadirio haya ni kwa mujibu wa matokeo ya miaka 3 ya kazi iliyopita.

Wastani mapato ya kila mwezi ni  Euro 161 sawa na Tsh.418,600 na faida ya makadirio kwa mwaka ni Euro 1,934 sawa na Tsh.5,028,000. 

Malipo ya wiki yanafanyika kila wiki ijumaa usiku.

 

Jinsi ya Kulipia ili kuweza kufanya investment na Questra world

 

 

Kulipia na benki kutumia  Swift ni njia mojawapo katika nyingi zitumiwazo na Questra kinachotakiwa kufanyika ili wewe kuweza kulipia kupitia Bank  ni kufungua akaunti ya AGAM  kwa kubonyeza hapa  JIUNGE.

Kisha katika Menu upande wa kushoto nenda na bonyeza Profile kisha upload vitu vifuatavyo.

1.  Jaza majina yako kamili

2.  Andika address unayotumia

3.  Weka Passport au kitambulisho kingine cha kimataifa   

4. Weka bili ya maji, umeme, bank statement kimojawapo ambacho kina jina lako na address uliyoandika hapo juu.

Kufanya hivi ni kuhakiki, na inatumia wiki moja au mbili kuweza kukubaliwa au kama kuna chochote ulichokosea watakuwandikia meseji, na utarekebisha.

Kuhakiki akaunti yako itakusaidia wewe kuweza kulipia kwa Bank, na pia kuweza kutumiwa mkataba wako na AGAM kuhusu uwekezaji unaofanya.

Njia nyingine rahisi ya kulipia nikutumia huduma za mitandao kama:

OkPay, Adv Cash, Perfect Money, Bitcon

Pia huduma zingine za kulipia kwa mitandao zijazo AGAM ni kama

Neteller, Skrill, AsiaPay. 

Jinsi ya kutoa hela zako AGAM

Kutoa hela unatumia njia zile zile ulizotumia kilipia ambazo ni Bank, OkPay, Adv Cash, Perfect Money, Bitcon. Na kiwango cha chini kabisa kutoa ni Euro 10 sawa na Tsh.24500.

 

BONYEZA HAPA KUJIUNGA NA QUESTRA